Kuhusu Arianna Poultry Investment

Kwanini Sisi

Arianna Poultry Investment inatoa Huduma bora na za uhakika kwa wateja wake na jamii kwa ujumla.

Huduma hizi zikihusisha elimu ya ufugaji kuku kibiashara, mikopo ya kuku na vitu vinavyohusika kwenye ufugaji wa kuku, kuwaunganisha wateja wetu na masoko ya mazao ya ufugaji wa kuku,

Pia tunasambaza mazao ya kuku waliobora ambayo ni vifaranga, nyama na mayai kwa wale wote wanaohitaji kuanzia mteja mmoja mmoja hadi makampuni makubwa yaliyopo nchini Tanzania bila kujali eneo mteja alipo au kampuni ilipo ilimradi ni ndani ya mipaka ya Tanzania.

Arianna Poultry Investment Kama kampuni inayohudumia wajasiriamali, wakulima na wafugaji, inathamini sana wateja wake na kuwajali bila kubagua uwezo, rika, jinsia, eneo mteja alipo au kitu kingine chochote chenye upendeleo.

Ieleweke wazi kabisa kuwa mteja kwetu ni mfalme hivyo kumuhudumia na kumjali ni wajibu wetu bila upendeleo wowote ule.

Kulingana na uhitaji Mkubwa wa Kuku katika jamii, wakiwemo kuku wa nyama na kuku wa mayai, Kampuni yetu imejipanga katika kuhakikisha inamfikishia mteja Kuku aliyebora na kwa gharama nafuu kabisa.

Kuku wetu wana afya nzuri hususani ukizingatia wanatunzwa kwa kufuatia taratibu bora za matunzo ya kuku ambayo ni salama kwa afya za walaji, Tunauza waliochinjwa tayari na ambao wapo hai kulingana na chaguo la mteja

Kulingana na uhitaji Mkubwa wa Mayai katika jamii zetu hususani kwenye mahotelini, migahawani, vibanda vya chipsi, na majumbani; Yakiwemo mayai ya kuku wa kisasa na mayai ya kuku wa kienyeji, Kampuni yetu imejipanga katika kuhakikisha inamfikishia mteja mayai ya Kuku yaliyobora na kwa gharama nafuu kabisa.

Tupigie simu au tutumie barua pepe ukiwa popote pale tanzania tuwasiliane na tukufikishie ulipo kwa gharama nafuu kabisa

Huduma Zetu

Kuku Safi

Arianna Poultry Investment inazalisha Kuku safi ...

Soma zaidi

Mkopo wa vifaranga wa kuku

Arianna Poultry Investment inatoa mikopo ya ...

Soma zaidi

Kuwaungamisha wateja na masoko

Arianna Poultry Investment ina mtandao mkubwa ...

Soma zaidi

Mikopo kwa wafugaji

Arianna Poultry Investment Tunatoa mikopo kwa ...

Soma zaidi

Mikopo ya chakula cha kuku

Tunatoa mikopo ya chakula cha kuku, ...

Soma zaidi

Elimu ya Ufugaji na namna ya kudhibiti magonjwa

Tunaelimisha jamii kuhusu ufugaji bora na ...

Soma zaidi

Elimu ya Ujasiriamali

Tunatoa elimu ya ujasiriamali kwa jamii ...

Soma zaidi

Kuuza Mayai bora

Arianna Poultry investment tunatoa huduma ya ...

Soma zaidi

Utengenezaji wa software na Huduma za TEHAMA

Tuna Ubia na kampuni yenye uzoefu ...

Soma zaidi

Timu Yetu

Tumaini Mkadimba

Managing Director

Mr. Godwin Elisan

Finance Manager

Mr. Eligi Kamili

Human Resource Manager

Veronica Itamba

Operation Manager

Wateja Wetu

Local restaurants

Hotel with a range of star rating

Supermarkets

International fast food chains

International schools

Kama utaamua kusimamia nia na malengo uliyojiwekea, Daima Hutofeli, Utateleza, utainuka na utazidi kusonga mbele, Na mwisho wake ni mafanikio tu.